Mahubiri yamekolea kutoka kwa Bishop D. Maboya |
Bull -Dozer Mwamposa toka CAG -Moshi akihubiri |
Uponyaji kwa yeyote anae amini...!!! |
Jiombee mwenyewe kabla sijakuombea...!! |
Mchungaji Jeniffer ..embu waombee hawa watu wa Mungu..!!! |
Apostle Ssekalala toka Uganda akihubiri, huku mkalimani wake Mchungaji Meja akikalimani kwa kiswahili |
Mchungaji Anna Apolinary akishusha upako kwa watu wa Mungu...!!! |
Pale upako unavyokolea na nyimbo huwa nzuri na za kupendeza..Holy Trinity Choir |
Mchungaji Dustan Haule Maboya akiongea na watoto wa Marehemu Fanuel Sedekia(mwimbaji wa kimataifa) walipotembelea kanisa la CAG-Sombetini,Arusha |
Kwaya toka katika Chuo cha Ufundi-Arusha(Arusha Technical College) walipotembelea kanisa la CAG-Sombetini,Arusha |
Kwaya ya Streams of Life ikishusha upako kwa njia ya Nyimbo... |
Bishop, Dustan Haule Maboya-CAG-TANZANIA |